
Umati wa wakazi wa jiji la Mwanza wakiwa katika mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kupitia Chadema chini ya Mwamvuli wa Ukawa Mh Edward Lowassa unaofanyika katika Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza.
Mkutano huo ulihutubiwa na mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema, Mh Edward Lowassa.
Wengine waliopata fursa ya kuongea na wafuasi wa Ukawa, ni pamoja na Mwenyekiti wa Chadema, Mh Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Nccr Mageuzi, Mh James Mbatia, aliyepata kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha na aliyekuwa Mwenyekiti wa Ccm mkoani Shinyanga.





Hakuna maoni :
Chapisha Maoni