Mgeni rasmi katika
ufungaji wa Mafunzo ya awali ya skari Polisi,NaibuWaziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi,Pereira Ame Silima akizungumza wakati wa sherehe za
ufungaji wa mafunzo hayo zilizofanyika Chuo Cha Taaluma ya Polisi
Moshi.
Baadhi ya wahitimu wa
mafunzo ya awali ya Askari Polisi na Uhamiaji.
Askari Polisi wahitimu
wakionesha umahiri wa kucheza Karate.
Askari Polisi wahitimu
wakionesha Umahiri katika kutumia pikipiki wakati wa kudhibiti
uharifu.
Askari Polisi Wahitimu
wakionesha mbinu mbalimbali walizofundishwa.
Askari wahitimu wa kike
wakionesha namna ambavyo walivyofundishwa matumizi ya Bastola.
Naibu Inspekta Jenerali
wa Jeshi la Polisi ,Abdulrahman Kaniki akitoa hotuba yake katika siku
hiyo.
Mkuu wa Chuo cha Polisi
,Commandant ,Matanga Mbushi akitoa hotuba yake katika sherehe hizo.








Hakuna maoni :
Chapisha Maoni