Televisheni ya taifa ya Syria
imesema makombora kadhaa yamelipua kituo cha usafiri na jengo la umma
katika eneo la Quneitra.
Mapema makombora ya roketi
yalirushwa na kutua katika kijiji kaskazini mwa Israeli, hakuna
taarifa za kuwapo majeruhi katika milipuko hiyo.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni