.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 26 Agosti 2015

POLISI WANNE WATIWA HATIANI NCHINI AFRIKA KUSINI KWA MAUAJI

Afrika Kusini imewatia hatiani polisi wanane kwa kumuua dereva taksi raia wa Msumbiji, ambaye alifungwa nyuma ya gari na kuburuzwa barabarani mwaka 2013.

Jaji amesema kuwa hakuna shaka kuwa polisi walijua kuwa kitendo chao hicho kinaweza kusababisha kifo cha mtu huyo Mido Macia.

Makundi ya kutetea haki za binadamu mara kwa mara yamekuwa yakishutumu polisi nchini Afrika Kusini kwa ukatili.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni