Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari
mempatia mkuu mpya wa jeshi miezi mitatu kuwadhibiti wapiganaji wa
kundi la Boko Haram nchini humo.
Rais Buhari ametoa agizo hilo wakati
akiwaapisha makamanda wapya wa jeshi ambao aliwateuwa mwezi uliopita.
Wakati rais Buhari akiingia
madarakani mwezi Mei, aliapa kukabiliana na harakati za uasi za kundi
hilo la Waislamu wenye itikadi kali.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni