Mfalme wa utawala wa kusini
magharibi mwa Nigeria, Onu of Ife, atazikwa katika maziko ambayo
yanatarajiwa kuhudhuriwa na maelfu ya watu.
Mila za kumtukuza mfalme huyo Oba
Okunade Sijuwade wa kabila la Yoruba ambalo ni la pili kwa ukubwa
nchini Nigeria, zinafanyika katika mji wa Ife.
Mabenki na biashara nyingine
zimefungwa kupisha maziko ya mfalme huyo (85) aliyefariki dunia
London mwezi julai, lakini taarifa za kifo chake zilitangazwa
jumatano ya wiki hii.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni