Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka mchanga kaburini huku Waziri wa
Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli akisubiri zamu yake wakati wa mazishi ya
Marehemu Iddi Ubwa Mazongeraaliyekuwa Diwani wa Kata ya Yombo
Wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani aliyefariki jana na kuzikwa leo kwenye
makaburi ya Kichangani, Bagamoyo. PICHA NA IKULU
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni