Rubani msaidizi wa Lativia ambaye
alikiri kunywa whisky na bia kabla ya kurusha ndege ya airBaltic
kutokea Norway kwenda Crete amefungwa jela miezi sita.
Wahudumu wengine wawili wa ndege
hiyo nao pia wamehukumiwa kifungo cha siku 45 na 60 kila mmoja.
Vipimo vilionyesha rubani huyo
msaidizi alikuwa na pombe nyingi kwenye damu yake ikiwa na ongezeko
la mara saba ya kipimo cha ukomo wa kileo.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni