Sehemu takatifu ilipotokea milipuko
mibaya siku ya jumatatu Jijini Bangkok nchini Thailand imefunguliwa
kwa umma hii leo.
Watu wapatao 20 wamekufa na wengine
wengi wamejeruhiwa katika shambulio la mahala hapo pa dhehebu la
Kihindu, ambapo ni maarufu kwa Mabuddha wa nchini Thailand.
Polisi nchini Thailand imesema
mtuhumiwa wa tukio hilo ni kijana mmoja ambaye alinaswa na kamera za
usalama akiacha begi lake la mgongoni lililokuwa na mlipuko na
kuondoka.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni