Wakazi wa mji wa China wa Tianjin
ambao nyumba zao zimeharibiwa na milipuko Agosti 12 wameandamana
kudai fidia kutoka serikalini.
Idadi kubwa ya watu wamekusanyika
nje ya Hoteli ya Mayfair, ambako maafisa wa serikali wanatoa taarifa
kwa vyombo vya habari.
Wakazi wa Tianjin wamesema maghala
ya kuhifadhi chemikali yaliyolipuka yamejengwa kinyume cha sheria
karibu na nyumba zao.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni