.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 28 Septemba 2015

BAN KI-MOON ASHUTUMU VIKALI SHAMBULIO LA WALINDA AMANI DARFUR

Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Bw. Ban Ki-moon ameshutumu vikali shambulio la jumapili lililofanywa kwa walinda amani huko Darfur ambalo lilisababisha kifo cha mwanajeshi wa Afrika Kusini.

Katika taarifa yake Bw. Ki-moon ametoa salamu za rambirambi zake kwa serikali ya Afrika Kusini na watu wake pamoja na familia ya mlinda amani huyo aliyekufa.

Pia Katibu Mkuu huyo wa Umoja wa Mataifa amewatakia wapone haraka wanajeshi waliojeruhiwa katika tukio hilo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni