.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 28 Septemba 2015

PAPA FRANCIS AENDESHA IBADA KUBWA YA WAZI KWA UMMA JIJINI PHILADELPHIA

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameendesha ibada kubwa ya wazi kwa umma Jijini Philadelphia wakati akimaliza ziara ya siku sita nchini Marekani

Katika ibada hiyo Papa Francis ametaka kuimarishwa kwa umoja na mapenzi ya familia, mbele ya maelfu ya watu waliokusanyika katika uwanja wa Benjamin Franklin.

Mapema, kiongozi aliomba pamoja na kundi la wahanga wa matukio ya kudhalilishwa kingono wakiwa watoto, na kusema Mungu anawalilia kutokana na mateso yao waliyopitia.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni