.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 28 Septemba 2015

CHANZO CHA KIFO CHA BOBBI KRISTINA BROWN KUBAKIA KUWA SIRI

Chanzo cha kifo cha Bobbi Kristina Brown, ambaye ni mtoto wa marehemu Whitney Houston kimebainika, hata hivyo matokeo yake hayatotolewa kwa umma.

Maafisa wamesema kuwa serikali ya jimbo la Georgia imeagiza wataalamu wa afya waliochunguza chanzo cha kifo hicho, kuficha matokeo.

Bobbi Kristina, 22, alifariki dunia Julai 26, ikiwa ni miezi sita tangu akutwe akiwa amepoteza fahamu kwenye bafu nyumbani kwake huko Atlanta.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni