.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 24 Septemba 2015

BARCELONA IMEPATA KIPIGO KIKUBWA CHA KWANZA KATIKA LIGI YA LA LIGA

Barcelona imepata kipigo kikubwa katika ligi ya La Liga tangu inolewe na Luis Enrique wakati timu Celta Vigo ikikatisha rekodi ya ushindi wa asilimia 100 katika msimu huu kwa kuifunga mbao 4-1.

Mshambuliaji wa zamani wa Liverpool Iago Aspas alipachika wavuni mabao mawili baada ya Nolito kufunga bao la kwanza dhidi ya timu yake ya zamani ya Barcelona.

Neymar alipachika bao moja la kufutia machozi kwa Barcelona zikiwa zimebakia dakika10 za mchezo huo, kabla ya mchezaji wa zamani wa Manchester City na Stoke John Guidetti kufunga bao la nne la Celta Vigo. 
                                                     John Guidetti akifunga bao la nne la Celta Vigo
                                             Lionel Messi akiwa ameshika kiuno hoi kwa kipigo 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni