Vita ya mabilionea kuwa na maboti ya
kifahari imepamba kasi, huku kukiwa na bodi zenye eneo lenye theluji,
mabwa ya kuogelea yenye maeneo ya kutowekea kama kwenye filamu za
James Bond.
Bilionea wa Urusi Andrey Melnichenko
ameibuka na boti mpya ya kifahari ijulikanayo kama A, ambayo ni boti
kubwa duniani yenye urefu wa futi 300.
Muonekano wa mbele wa boti ya kifahari ya A
Boti nyingine ya kifahari ikiwa imewasha taa usiku



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni