BWANA NASIFU AHMED LEMA
MTAJWA HAPO JUU NI RAIA WA TANZANIA AMBAYE KWA SASA YUKO AFRIKA KUSINI. BW. LEMA ANA HALI MBAYA KIMAISHA.
ANADAI KWAMBA ALIZALIWA HIMO MAKUYUNI KIJIJI CHA LOTIMA MKOANI KILIMANJARO MWAKA 1968. WAZAZI WAKE NI AHMED LEMA NA ANNA MFINANGA AMBAO KWA SASA WOTE NI MAREHEMU.
UBALOZI WA TANZANIA AFRIKA KUSINI UNAOMBA KAMA KUNA YOYOTE
AMBAYE ANAWAFAHAMU NDUGU ZAKE WAPATIWE TAARIFA HII.
WANAWEZA KUWASILIANA NA UBALOZI KITENGO CHA UHAMIAJI KWA NAMBA ZIFUATAZO: +27 12 342 4371 AU +27 12 342 4393
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni