.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 4 Septemba 2015

RAIS KIKWETE AKUTANA NA SPIKA NA NAIBU SPIKA WA BUNGE LA BURUNDI, IKULU

1x
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na spika wa Bunge la Burundi Mhe.Paschal Nyabenda(kushoto) na Naibu Spika wa Bunge la Burundi Mhe.Agathon Rwasa muda mfupi baada kufanya mazungumzo ikulu jijini Dar es Salam leo mchana.Spika huyo na ujumbe wake walimtembelea Rais Kikwete Septemba 3, 2015. (Picha na Freddy Maro).
2x
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la Burundi Mhe. Paschal Nyabenda, naibu Spika wa Bunge hilo Agathon Rwasa pamoja wajumbe wengine ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.
3x
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na spika wa Bunge la Burundi Mhe.Paschal Nyabenda(kushoto) na Naibu Spika wa Bunge la Burundi Mhe.Agathon Rwasa ikulu jijini Dar es Salam leo mchana.Spika huyo na ujumbe wake walimtembelea Rais Kikwete.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni