
.
Wasanii wa mziki wa kizazi kipya wakijadiliana kwa pamoja kuhusu masuala ya kuongeza ujuzi na umuhimu wa vijana katika kushiriki Uchaguzi,majadiliano hayo yalifanyika katika kongamano la Vijana na Uchaguzi wa Amani ambalo limeendeshwa tarehe 02/09/2015 ukumbi wa hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar.

Wanamuziki wa kizazi kipya wakitumbuiza na kuwaburudisha washiriki wa kongamano la vijana na uchaguzi wa Amani ambalo limefanyika tarehe 02/09/2015 ukumbi wa salama Hall hoteli ya Bwawani Malindi Mjini Zanzibar. Kongamano hilo lilikuwa na ujumbe unaosomeka “PIGA KURA KWA AMANI UPATE MAENDELEO NCHINI”.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni