Jumatatu, 21 Septemba 2015
DK SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA QATAR NCHINI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduuzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Balozi wa Qatar katika Jamhuri ya Muunfano wa Tanzania Abdulla Jassim Al Maadad alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. [Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduuzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi wa Qatar katika Jamhuri ya Muunfano wa Tanzania Abdulla Jassim Al Maadad alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni