.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 21 Septemba 2015

MAELFU YA WAHAMIAJI WAMEINGIA AUSTRIA MWISHONI MWA WIKI

Maelfu ya wahamiaji wameingia Austria mwishoni mwa wiki wakati viongozi wa Jumuiya ya Ulaya wakijiandaa kujua na uamuzi wa pamoja wa kukabiliana na mgogoro huo.

Hii leo mamlaka za nchini Austria zinatarajia kupokea wahamiaji zaidi wakitokea nchi ya Hungari.

Mawaziri wa Mambo ya Nje kutoka mataifa manne ya mashariki mwa Ulaya watafanya mazungumzo hayo baadae, na mawaziri wa mambo ya ndani ya Umoja wa Ulaya nao watakutana siku ya jumanne.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni