Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia CCM akiwa na Viongozi wa CCM baada ya kuwasili katika viwanja vya Gombani ya Kale Chakechake Pemba kwa ajili ya Uzinduzi wa Kugombea Urais wa Zanzibar.
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakiwa wamesimama baada ya kumpokea Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi,na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, alipowasili katika viwanja hivyo kwa ajili ya uzinduzi wa Kampeni ya Urais kisiwani Pemba.
Wasanii wa Kikundi cha Macho Mane Art Group wakitowa burudani wakati wa
Uzinduzi wa Kampeni za CCM katika viwanja vya Gombani ya Kale Chakechake
Pemba.

Wasanii wa Yamoto Band wakitowa burudani kwa Wana CCM kisiwani Pemba wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya CCM ya Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Gombani ya Kale Chakechake Pemba.
Wasanii wa Yamoto Band wakitowa burudani kwa Wana CCM kisiwani Pemba wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya CCM ya Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Gombani ya Kale Chakechake Pemba.
WanaChama wa Chama cha Mapinduzi Kisiwani Pemba wakiwa katika viwanja
vya gombani ya kale wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Dk Shein, akifungua
Kampeni za CCM Pemba.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar pia ni Mgombea wa
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Naibu Katibu Mkuu
wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai baada ya kuwasili katikac viwanja vya
gombani ya kale kwa uzinduzi wa kampeni ya Urais kupitia CCM kisiwani
Pemba.
Mgombea Urais wa Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi
Jukwaa kuu wakifuatilia burudani wakati wa uzinduzi wa Kampeni za CCM
Kisiwani Pemba zilizofanyika katika viwanja vya gombani ya Kale
Chakechake Pemba.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai akitowa maelezo
wakati wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM za Mgombea Urais wa Zanzibar Dk
Shein katika viwanja vya Gombani ya Kale Chakechake Pemba.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Unguja Ndg Borafia Silima akizungumza na
Wananchi wa Kisiwani Pemba wakati wa Uzinduzi wa Kapeni ya Urais wa
Zanzibar kupitia CCM zilizofanyika katika viwanja vya Gombani Pemba.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakimshangilia Mwenyekiti wa CCM Mkoa
wa Mjini Unguja Ndg Borafia Silima akiwahutubia katika viwanja vya
Gombani Pemba leo jioni.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Unguja Ndg Borafia Silima akisisitiza
jambo wakati wa Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni ya Mgombea Urais wa
Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuombea
Kura kwa Wananchi wa Pemba.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe Mohammed Aboud akiwahutubia WanaCCM
kisiwani Pemba wakati wa kampeni ya Uzinduzi wa Urais kupitia Chama cha
Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, na kuwataka kumpigia kura ya Ndio Dk
Shein.
WanaChama wa CCM Pemba wakifuatilia uzinduzi wa mkutano huo kwa
kusikiliza Sera za Chama cha Mapinduzi wakati wa Mkutano wa Kampeni
zilizofanyika katika viwanja vya Gombani Pemba.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakishangilia kwa kuonesha picha za Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein.
Mama Fatma Karume akiwa katika viwanja vya Gombani Pemba akifuatilia
Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM
Dk Shein katika viwanja vya gombani Pemba.
Mjumbe wa Halmashauru Kuu ya CCM Balozi Ali Karume akizungumza na
Wananchi na WanaCCM kisiwani Pemba wakati wa mkutano wa Uzinduzi wa
Kampeni ya Urais wa Zanzibar kupitia CCM na kuwataka Wananchi kumpigia
kura ya Ndio Dk Shein.
Balozi Karume akisisitiza jambo wakati akiwahutubia Wanachama wa CCM Kisiwani Pemba leo jioni.

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwahutubia Wananchi na Wana CCM Kisiwani Pemba wakati wa mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni ya kugomgea Urais wa Zanzibar zilizofanyika katika viwanja vya gombani ya Kale Chakechake Pemba na kuwaombea Kura Mhe Magofuli na Dk Shein.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwahutubia Wananchi na Wana CCM Kisiwani Pemba wakati wa mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni ya kugomgea Urais wa Zanzibar zilizofanyika katika viwanja vya gombani ya Kale Chakechake Pemba na kuwaombea Kura Mhe Magofuli na Dk Shein.
Viongozi wa CCM Jukwaa kuu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wakati wa
Uzinduzi wa Kampeni ya kugombea Tena Dk Shein, Urais wa Zanzibar kupitia
CCM zilizofanyika katika viwanja vya Gombani ya Kale Pemba.
Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein, akiwahutubia Wananchi Kisiwani Pemba
wakati wa mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni zilizofanyika katika viwanja
vya Gombani ya Kale Chakechake Kisiwani Pemba. na kuwataka Wananchi
kisiwani Pemba kikipigia Kura Chama cha Mapinduzi kwa maendeleo kwa
Wananchi wake kupitia Sera za CCM na kutimiza ahadi za Ilani ya
Uchaguzi.
Mgombea Urais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi na kuwaonesha Ilani ya CCM wakati wa mkutano huo.
Hivi ndivyo ilivyokuwa katika uwanja wa gombani ya Kale Chakechake
Pemba jinsi Wana CCM walivyojitokeza kumsikiliza Mgombea Urais wa
Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein.
Wananchi wakiwa juu ya bodi ya gari wakitaka kumuona na kumsikia Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia katika viwanja vya
gombani chakechake Pemba.
Hivi ndivyo ilivyokuwa wananchi kisiwani Pemba walivyofuatilia hutuba ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein.
Twasira katika viwanja vya Gombani ya Kale Uzinduzi wa Kampeni ya Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein.
Mwanachama CCM akishangilia akiwa na kipeperushi cha Mgombea wa Urais wa CCM. Dk Ali Mohamed Shein.
Wasanii wa Kikundi cha Machomane Art Group wakimshangilia Mgombea wa
Urais wa CCM Dk Ali Mohamed Shein, wakati akiwahutubia katika viwanja
vya Gombani ya Kale.
Wasanii wa Yamoto Band wakitowa Burudani kwa Wananchi wa Kisiwani Pemba
wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Urais kupitia CCM Dk. Ali Mohamed
Shein.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni