.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 6 Septemba 2015

GARI LA MBIO ZA MAGARI LAUWA WATU SITA NCHINI HISPANIA

Watu sita akiwemo mwanamke mjamzito wamekufa baada ya gari kuteleza na kuacha barabara wakati wa mbio za magari kaskazini magharibi mwa Hispania.

Polisi wamesema watu 16 wamejeruhiwa katika tukio hilo, baadhi yao wakiwa mahututi baada ya kutokea ajali hiyo katika mbio za magari za A Coruna.

Picha za video zinaonyesha gari likiacha barabara na kuwagonga watu waliokuwa wakifuatilia mbio hizo kando ya barabara. Polisi wamesema gari hilo lilikuwa katika mwendo kasi mno.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni