Mshambuliaji wa Uingereza Wayne
Rooney amefikia rekodi Sir Bobby Charlton ya heshima ya kuifungia
timu ya taifa ya Uingereza mabao 49.
Rooney, 29, alifunga bao kwa mpira
wa penati katika ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya San Marino na kufikia
rekodi ya Charlton, ambapo baadae alibadilishwa na kutolewa nje
kupumzika katika kipindi cha pili.
Wayne Rooney akipongezwa na wachezaji wenzake wa Uingereza baada ya kufunga bao
Asante Mungu: Wayne Rooney akinyanyua mikono juu kumshukuru Mungu
Mke wa Wayne Rooney, Coleen Rooney akipiga makofi kumpongeza mumewe




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni