.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 6 Septemba 2015

MWANAUME MMOJA AWAFUNGIA KWENYE CHUMBA MKEWE NA MTOTO WAKE KWA MIAKA KADHAA

Polisi nchini Argentina wamemfungulia mashtaka mwanaume mmoja ambaye anadaiwa kumfungia kwenye chumba mkewe pamoja na mtoto wake mkubwa wa kiume kwa miaka kadhaa kama wafungwa.

Polisi wamesema chumba hicho kichafu chenye harufu mbaya kilichopo kwenye nyumba ya Bw. Edgardo Oviedo katika mji wa pwani wa Mar del Plata kina mlango wa chuma na kufuli kwa nje.

Pia , walikuta vyakula vya mbwa, ambavyo inaaminika kuwa alikuwa akimpatia mkewe huyo na mtoto wake wa kiume.

Polisi wamesema mkewe amekutwa na matatizo ya akili na mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 33 hawezi hata kuzungumza.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni