.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 22 Septemba 2015

JESHI LA BURKINA FASO LAFIKA KATIKA JIJI LA OUAGADOUGOU KUMNG'OA ALIYEFANYA MAPINDUZI

Jeshi la Burkina Faso limefika katika Jiji la Ouagadougou kushinikiza kujisalimisha kwa kikosi cha kumlinda rais ambacho kilitangaza mapinduzi siku ya Alhamis.

Mazungumzo baina ya wakuu wa jeshi pamoja na walinzi wa rais yanaendelea kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali.

Kiongozi wa mapinduzi hayo Jenerali Gilbert Diendere ameviambia vyombo vya habari yupo tayari kukabidhi madaraka iwapo mpango wa kumaliza ghasia utaoungwa mkono na viongozi wa kikanda.
                                               Kiongozi wa mapinduzi Jenerali Gilbert Diendere

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni