.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 22 Septemba 2015

MPANGO WA KUMNYONGA MFUNGWA MLEMAVU WAHAIRISHWA PAKISTANI

Mpango wa kumnyonga mfungwa mlemavu Abdul Basit nchini Pakistani umehairishwa, wakili wake ameeleza.

Basit hakuweza kunyongwa kutokana na hali yake kutoendana na miongozo ya jela kuwa mfungwa anayenyongwa napaswa kusimama wima juu ya jukwaaa la kunyongea kabla ya kutekelezwa adhabu hiyo.

Watetezi wa Haki za Binadamu nchini Pakistani wamesema kumnyonga mlemavu kutakuwa ni ukatili wa kikatiba.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni