Kesi inayomkabili mke wa muigizaji
filamu Johnny Depp, Amanda Heard ya kuingiza mbwa nchini Australia
bila ya kibali imehairishwa.
Heard ambaye naye pia ni muigizaji
filamu aligizwa kufika mahakamani siku ya leo kwa akikabiliwa na
mashtaka ya kushindwa kufahamisha uhamiaji mbwa wake wawili
aliosafiri nao.
Amanda Heard ameshindwa kufika
mahakamani hata hivyo kesi yake imehairishwa hadi Novemba 2.
Muigizaji huyo anakabiliwa na
kifungo cha miaka 10 jela ama kutozwa faini kubwa kwa kuingiza mbwa
kinyume na sheria za Australia.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni