.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 7 Septemba 2015

MATOKEO YA AWALI YA UCHAGUZI WA GUATEMALA YANAONYESHA MUIGIZAJI FILAMU ANAONGOZA

Matokeo ya awali ya uchaguzi wa Guatemala yanaonyesha muigizaji filamu za vikaragosi Jimmy Morales anaongoza.

Jimmy Morales ambaye kampeni zake zilikuwa za kupiga vita rushwa amepata asilimia 25 ya kura hadi sasa, huku mgombea wa mrengo kati wa kulia mfanyabiashara Manuel Baldizon akipata asilimia 21.

Upigaji kura umefanyika jana siku ikiwa ni siku chache tu baada ya kujiuzulu na kisha kukamatwa rais Otto Perez Molina kuhusiana na tuhuma za rushwa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni