Watu wapatao 15 wamekufa baada ya
basi walilokuwemo kuteleza na kuanguka katika barabara yenye mteremko
mkali karibu na mji wa zamani wa wakoloni wa Paraty nchini Brazil.
Watu wengine 30, wamejeruhiwa na
ambapo miongoni mwa manusura wachukuliwa kwa ndege na kukimbizwa
katika hospitali za karibu.
Basi hilo lilikuwa linasafiri kwenda
kwenye fukwe maarufu kwa kuvutia watalii wakati lilipopinduka katika
mlima mdogo.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni