.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 11 Septemba 2015

KIPA DAVID DE GEA AJIFUNGA MANCHESTER UNITED KWA MIAKA MINNE

Golikipa wa timu ya Manchester United ya Uingereza David De Gea ametia saini mkataba mpya wa miaka minne na klabu hiyo.

Mchezaji huyo raia wa Hispania mwenye umri wa miaka 24 alikaribia kujiunga na Real Madrid katika siku ya mwisho ya uhamisho, hata hivyo ilishindikana kutokana na nyaraka muhimu kutowasilishwa kwa wakati.

Mkataba wa De Gea wa awali ulikuwa umalizike majira yajayo ya joto, ambapo mkataba mpya aliopewa unatoa fursa kuongeza mwaka mwingine.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni