.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 11 Septemba 2015

MAFURIKO YAUA WATU WATATU JAPAN NA WENGINE 24 HAWAJULIKANI WALIPO

Jitihada za uokoaji zinaendelea eneo la kaskazini mashariki mwa Japan, ambako watu wapatao watatu wamekufa katika mafuriko makubwa na wengine wengi wamekwama.

Watu 24 hawajulikani walipo na wengine 27 wamejeruhiwa nane kati yao wakiwa katika hali mbaya zaidi.

Maafisa wameonya kuwepo kwa mvua kubwa na hatari ya kutokea maporomoko ya ardhi, wakati hali hiyo mbaya ya hewa ikielekea eneo la kaskazini mwa Japan.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni