.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 11 Septemba 2015

MVUA YATIBUA NUSU FAINALI ZA MICHUANO YA TENESI YA US OPEN

Serena Williams itabidi angojee hadi Ijumaa ili kuendelea na michuano ya kalenda ya Grand Slam baada ya nusu fainali ya wanawake katika michuano ya Wazi ya Marekani, kuharishwa kutokana na mvua kubwa.

Michezo huo sasa utafanyika kesho, ambapo Serena Williams atakutana na Roberta Vinci baada ya mchezo wa kwanza wa nusu fainali baina ya Simona Halep na Flavia Pennetta katika michuona hiyo ya mchezo wa tenesi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni