Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU, kujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015.
Hii ni sehemu ya pili ya kipindi kilichosikika Septemba 14, 2015.
Kutoka Tanzania tuliungana na Jonathan Samiya na Nyakia, ambaye ni mmoja wa wakuu wa Itifaki wa kampeni za Dr Magufuli.
Studioni alikuwepo Dj Luke Joe, Clare Ng'owo, Ali Badawy na Shamis Abdulla.
Kwenye line tulikuwa na Jeff Msangi, Dr Patrick Nhigula na Arthur
"https://w.soundcloud.com/player/?url=https%3A//api.soundcloud.com/tracks/224054821&color=ff5500&auto_play=false&hide_related=false&show_comments=true&show_user=true&show_reposts=false"

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni