.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumatano, 16 Septemba 2015
UKAWA WAFANYA MIKUTANO YA KAMPENI KATAVI VIJIJINI
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mkanyageni, Zanzibar (CUF), Habib Mnyaa akihutubia mkutano wa kampeni za urais, ubunge na madiwani katika kijiji cha Katumba Wilaya ya Nsimbo, Mpanda mkoani Katavi.(Picha na Francis Dande)
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Zanzibar, Said Issa Mahamed akihutubia mkutano wa kampeni za urais, ubunge na madiwani katika kijiji cha Katumba Wilaya ya Nsimbo, Mpanda mkoani Katavi.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Zanzibar, Said Issa Mohamed (kulia) akimtambulisha mgombea ubunge wa jimbo la Nsimbo, Gerald Kitabu ambaye ni mwandishi wa habari wa The Guardian Ltd wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mnyaki, Mpanda mkoani Katavi.
Mgombea ubunge wa jimbo la Nsimbo, Gerald Kitabu ambaye ni mwandishi wa habari wa The Guardian Ltd akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Mnyaki, Mpanda mkoani Katavi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni