Nyota wa Barcelona Lionel Messi
alikosa penati hata hivyo hali hiyo haikumkatisha tamaa kwani
alicheka na nyavu mara mbili na kuisaidia timu yake kuibuka na
ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Levante.
Kwa ushindi huo Barcelona imejikita
kileleni katika La Liga huku mahasimu wao wakuu Real Madrid wakipata
ushindi wa bao 1 kwa bila dhidi ya Granada siku ya jumamosi.
Katika matokeo mengine Sevilla 1 - 2
Celta de Vigo, Deportivo de La Coruña 2 - 3 Sporting de
Gijón,Villarreal 3 - 1 Ath Bilbao, Barcelona 4 - 1 Levante, pamoja
na Las Palmas 0 - 1 Rayo Vallecano.
Neymar akimpongezana na Lionel Messi
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni