.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumatano, 30 Septemba 2015
MAALIM SEIF ALIPOTEMBELEA KIWANDA CHA SABUNI NA BARZA LA HATUPUMUI MPAKA KIELEWEKE
Mkurugenzi mtendaji wa kiwanda cha sabuni cha MKIPI MILIKI LTD Mohammed Abdallah Foum, akimueleza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif juu ya utendaji wa kiwanda hicho.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipokea zawadi kutoka kwa uongozi wa kiwanda hicho sabuni kilichopo Machengwe Wete.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipandisha bendera katika Barza ya HATUPUMUI MPAKA KIELEWEKE ya kijiji cha Shangafu.
Mkurugenzi mtendaji wa kiwanda cha sabuni cha MKIPI MILIKI LTD Mohammed Abdallah Foum, akimueleza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif juu ya utendaji wa kiwanda hicho.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Barza ya HATUPUMUI MPAKA KIELEWEKE ya kijiji cha Shangafu.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa amekaa ndani ya Barza ya HATUPUMUI MPAKA KIELEWEKE ya kijiji cha Shangafu.
Muonekano wa Barza ya HATUPUMUI MPAKA KIELEWEKE ya kijiji cha Shangafu, jimbo la Mtambwe. (Picha na Salmin Said, OMKR)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni