Mwanadada huyo mwenye miaka 34 ambaye ni mke wa mwanamuziki Kanye West, anaonekana kutokubali kuuweka urembo kando pamoja na kwamba ni mjamzito.
Akijifungua huyo atakuwa mtoto wake wa pili toka kwa mumewe Kanye West, kwani tayari wana mtoto wa kike aitwae North West.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni