.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 9 Septemba 2015

MAGOLI MATAMU YA WAYNE ROONEY BAADA YA KUWEKA REKODI YA KUIFUNGIA UINGEREZA MABAO 50

          Goli la 22 la Wayne Rooney alilifunga kwa staili ya aina yake dhidi ya Kazakhstan.
              Hili lilikuwa goli la 26 la Wayne Rooney alilolifunga dhidi ya Switzerland
               Wayne Rooney akipachika bao lake la 27 kwa kichwa dhidi ya Bulgaria
                        Hata Brazil aliwatungua Wayne Rooney akipachika bao lake la 36
           Kitu hicho kinaelekea wavuni hili ni bao la 33 la Rooney katika mchezo na Poland

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni