.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 9 Septemba 2015

UN NA UNICEF WASEMA VIFO VYA WATOTO WACHANGA VIMEPUNGUA KWA ASILIMIA 50

Vifo vya watoto wachanga vimepungua kwa asilimia 50 tangu mwaka 1990, ripoti ya Shirika la Afya Duniani pamoja na UNICEF imesema.

Ripoti hiyo imesema miaka 25 iliyopita watoto milioni 12.7 waliochini ya umri wa miaka 5 walikufa, hata hivyo idadi hiyo inatarajiwa kupungua chini ya watoto milioni 6.

Wameeleza kuwa Umoja wa Mataifa malengo ya kupunguza vifo vya watoto wachanga kwa theluthi mbili kati ya mwaka 1990 na 2015 hayatofikiwa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni