.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumanne, 1 Septemba 2015
MAOFISA WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Peter Sima na baadhi ya askari wa kikosi hicho wakimsikiliza kwa makini mtaalamu wa kusindika bia wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emanuel Sawe (kushoto), walipotembea kiwanda hicho, Dar es Salaam kushiriki semina fupi ya wiki ya nenda kwa usalama na TBL.
Mtaalamu wa kudhibiti Ubora na Ukaguzi wa bia za Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Lydia Raphael (kulia), akifafanua jambo kwa Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Peter Sima, alipotembelea kiwanda hicho akiwa na baadhi ya Maofisa na Askari kushiriki semina fupi ya wiki ya nenda kwa usalama na TBL.
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Peter Sima (wa tatu kulia), akishikana mkono na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorice Malulu, baada ya Kamishna huyo na baadhi ya Maofisa na Askari kushiriki semina fupi ya nenda kwa usalama na TBL, Dar es Salaam
Maofisa wa TBL wakiwa katika picha ya pamoja na askari hao Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Peter Sima akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Maofisa wa Askari wa kikosi hicho na maofisa wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), baada ya kushiriki semina fupi ya wiki ya nenda kwa usalama, Dar es Salaam
Wakielezwa jinsi mitambo inavyofanya kazi
Wakipata maelezo katika kitengo cha maabara kiwandani hapo
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni