Kanisa la Anglikana nchini Kenya
linawachunguza mapadri watano zaidi kutoka mkoa wa Mlima Kenya, kwa
kujihusisha na vitendo vya ushoga.
Mapadri hao watano ambao
wamesimamishwa kazi, wameoa na wana watoto na inasemekana wamekuwa
wakifanya vitendo vya ushoga bila ya wake zao kufahamu, Askofu wa
Daiyosisi ya Mlima Kenya magharibi Joseph Kagunda amesema.
Kanisa hilo siku ya jumapili
lilimtaka mmoja wa padri wake mmoja kuachia madaraka kutokana na
tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kishoga.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni