.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 29 Septemba 2015

MEMPHIS DEPAY AONEKANA MITAANI NA KARRUECHE TRAN

Mshambuliaji wa Manchester United Memphis Depay ameonekana akiwa ameenda kufanya manunuzi madukani nchini Uingereza akiwa na mwanamitindo Mmarekani Karrueche Tran.

Memphis Depay ameonekana jana na Karrueche ambaye alikuwa ni mpenzi wa mwanamuziki Chris Brown na kuanza kuibua minong'ono huenda wawili hao wameanzisha mahusiano ya karibu.

Siku ya jumamosi pia Depay na Karrueche walionekana katika vijiwe tofauti Uingereza ambapo walipigwa picha wakiwa pamoja nje ya klabu za usiku za Suburbia na Club LIV.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni