![]() |
| Picha ya hivi karibuni ya mtoto Loveness C. Jullu |
Wawili hao hawajaonekana tangu juzi Jumanne. Taarifa zimefikishwa katika kituo cha polisi na RPC wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni amekiri kupata taarifa za tukio hilo.
Ikiwa una taarifa zozote zitakazosaidia kupatikana kwao tafadhali zitoa kupitia namba hizi: 0715797920 na 0786977615. Asante.
![]() |
| Binti msaidizi wa kazi za nyumbani (house-girl) |
![]() |
| Picha ya awali ya mtoto |



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni