Ukiwataja wasanii wanaofanya vizuri kutoka Jijini Mwanza, lazima utawataja Nyasa Boy, D'Maladha pamoja na mwanadada Lady Shushu ambao wanaunda kundi la Tanzania One Music ambalo tayari linatesa na ngoma mbili sokoni.
Wasanii hao kupitia kundi hilo, wameweza kuliteka soko la Muziki wa Mwanza kupitia ngoma zao mbili ambazo ni Nasema Nawe.
Bonyeza HAPA
Tazama Thamani ya Penzi hapa chini
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni