.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 22 Septemba 2015

MSHAMBULIAJI DANIELLE CARTER AING'ARISHA TIMU YA TAIFA YA UINGEREZA

Mshambuliaji Danielle Carter ameanza vyema kwa kupachika mabao matatu yaani hat-trick wakati Uingereza ikishinda mchezo wake wa kwanza wa kufuzu michuano ya Euro 2017 kwa ushindi wa mabao 8-0 dhidi ya Estonia katika dimba la at A. Le Coq Arena jana.

Mshambuliaji wa huyo wa Arsenal ambaye ameichezea Uingereza kwa mara ya kwanza alipachika bao la kwanza baada tu ya kuingizwa dimbani na baadae kuongeza mabao mawili mengine katika mchezo wa kundi la saba.
                    Danielle Carter akipongezwa na wachezaji wenzake wa Uingereza
                                             Kirby akipangua ngome ya Estonia na kupachika bao

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni