.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 17 Septemba 2015

MTIANIA URAIS WA MAREKANI BILIONEA DONALD TRUMP ASHAMBULIWA KWA MANENO

Mtiania ya kuwania urais wa Marekani Donald Trump ameshambuliwa na kila mtu katika mdahalo mkali wa watiania ya urais wa chama cha Republican katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani.

Mgombea huyo mfanyabiashara bilionea ambaye anaongoza kwa sasa licha ya kuwa hana uzoefu wa kisiasa aligoma kuomba msamaha kutokana na matamshi yake ya kumdhihaki mke wa mtiania mwenzake Jeb Bush.

Mke huyo wa Bush, Carly Fiorina aliyekuwepo katika mdahalo huo alishangiliwa kwa kusimama na kupigiwa makofi na watu waliohudhuria mdahalo huo, licha ya Trump hivi karibuni kumdhihaki kutokana na muonekano wake. Watiania 15 wa Republican wanawania kuingia Ikulu mwakani.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni