.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 17 Septemba 2015

TETEMEKO KUBWA LA ARDHI LIMETOKEA ENEO LA KATI LA CHILE NA KUUWA WATU WATANO

Tetemeko kubwa la ardhi limetokea eneo la kati la Chile, na kuuwa watu watano na kusababisha majengo kuyumba katika jiji la Santiago.

Maafisa wamesema tetemeko hilo lenye kipimo cha mtetemo wa alama 8.3 lilijikita eneo la kati la pwani kilimita 232 kaskazini magharibi mwa Santiago na kusababisha watu milioni moja kuhamishwa.

Tahadhari ya kutokea tsunami ilitolewa kwa maeneo yote ya Pwani ya Chile, lakini tahadhari hiyo imeondolewa kwa kiasi fulani.
 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni