.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 15 Septemba 2015

PROFESSOR LLOYD BINAGI AWASILI NCHINI TANZANIA SALAMA.

Hapa ni Tarime Mkoani Mara ambako ni nyumbani kwa Professor Lloyd Binagi (Manamba) aliewasili nchini hivi karibuni baada ya kustaafu. Kwa muda mrefu Professor Binagi alikuwa akifanya kazi nchini Marekani. Na:Binagi Media Group. Familia ya Binagi pamoja na Uongozi wa Binagi Media Group unakukaribisha nyumbani Tanzania.
Kulia ni Professor Lloyd Binagi, Katikati ni Mkewe Luise Binagi na kushoto ni rafiki wa Professor Binagi aitwae Mzee Sabhanganga.
Professor Binagi (Kulia) akiwa pamoja na rafiki yake Mzee Sabhaganga (Kushoto).

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni