Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akizungumza na waandishi wa habari juu ya Watanzania wanaoipenda Tanzania wakisha maliza kutimiza wajibu wake wawapishe waendelee kutimiza haki zao za msingi za kupiga kura, ameyasema katika Hoteli ya Serena leo Jijini Dar es Salaam.
Makamu Mkurugenzi wa (NEC) Jaji Mustafu Hamad M. Hamid akizungumza na viongozi mbalimbali wadini pamoja na viongozi wa Siasa juu ya zoezi la uchaguzi kuwa la amani na utulivu leo Jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mwenyekiti wa Mdahalo Dk Ayub Rioba.
Mwenyekiti wa Mdahalo Dk Ayub Rioba akizungumza na viongozi mbalimbali wadini pamoja na viongozi wa Siasa juu ya zoezi la uchaguzi kuwa la amani na utulivu leo Jijini Dar es Salaam, kulia ni Makamu Mkurugenzi wa (NEC) Jaji Mustafu Hamad M. Hamid
Katibu Mkuu wa (TLP), Nancy Mrikaria akisisitiza jambo katika mdahalo huo.
Baadhi ya viongozi Mbalimbali wakiwa katika mdahalo huo leo Jijini Dar es Salaam . (Picha na Emmanuel Massaka)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni