.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 9 Septemba 2015

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WAPYA WA FINLAND NA SWEDEN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Balozi mpya wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka akisaini kitabu cha wageni alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Septemba 9, 2015.

Balozi mpya wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015.


Balozi mpya wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka baada ya kuwasilisha hati za utambulisho akiongea na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015.


Balozi mpya wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka akipigiwa nyimbo za taifa baada ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015.

Balozi mpya wa Sweden Bi. Katrina Rangnitt nchini akiweka saini kitabu cha wageni kabla ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015.
 Balozi mpya wa Sweden nchini Bi. Katrina Ranngitt akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015.

Balozi mpya wa Sweden nchini Bi. Katrina Ranngitt akisalimiana na Naibu Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa baada ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015.

Balozi mpya wa Sweden nchini Bi. Katrina Ranngitt akiwa katika mazungumzo na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015.

Balozi mpya wa Sweden nchini Bi. Katrina Ranngitt akisindikizwa na Mnyikulu wa Ikulu Bw. Jumaa Bwambo baada ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakay Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015

                                                                                                       PICHA NA IKULU

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni